Отсутствует (исполнитель: Неизвестен)

Ahiya, Ahiya 
Kwa baraka 
Mimi napona 
Kabisa, ni hajabu 
Sina mwili tena 
Niko sawa upepo 
Mimi masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina nyesha kama mvua 
 [bad word] kama ndege 
Ina cheka kama mtoto 

Ahiya, mam'ahiya 
Sina haja,ya kitu, 
mimi napona 
I'm free, kama maji 
Anatembeya mpaka katika pori 
Mimi, mi masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina ota kama maua 
Ina pita kama nyota 
Ina waka kama jua 

Pole pole mama 
Wakati wangu umefika, mimi napona 
I'm free, kama hewa 
Ina ingiya mpaka fasi inapenda 
Mimi, ni masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina ona kama macho 
Ina waka kama moto 
Ina lia kama ngoma 

I'm free kama maji 
Ana tempaka mpaka kati ya pori 

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji 
Kama mimi leo, mimi napona 

I'm free, I'm free 
Kama mimi leo, mimi napona 

Ahiya Mam'ahiya 
sina mali, Mungu, sina deni
Послушать/Cкачать эту песню
Mp3 320kbps на стороннем сайте

Открытка с текстом :
Удобно отправить или распечатать
Создать открытку
У нас недавно искали песни:
KDK-амфитамин  Ликуй и Смейся House MD  Herbalife Ace Young  Люмен беги  Леопольд  Байконурская  Его wi  Одержимые мечтой dreaming 
О чем песня
Неизвестен - Отсутствует?
2020 © Tekstovoi.Ru Тексты песен