Ee Mungu Nguvu Yetu (исполнитель: Гимн Кении)
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na undugu Amani na [bad word] Raha tupate na ustawi. Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda. Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani.