Отсутствует (исполнитель: Неизвестен)
analiya disiwe mume wake ajali haina kinga wala kafara anaenda kijana maladi inamushinda ana aca bibi na mutoto mudogo mwanaume analala kimya like an angel mbele ya kufunga maco alimwambiya: "bibi yangu unisamehe ju sina mali ya kukuaciya mungu akulinde like an angel" mawa ju kijana ule anaenda [bad word] mawa oh ! maliyo ! sheria ya mungu mama hayijulikane ajali haina kinga wala kafara : "kwaheli mpenzi wangu wende salama lala...like an angel like an angel"